Chozi Langu (Letters to Tamara)

Chozi Langu (Letters to Tamara)

Status: Finished

Genre: Romance

Houses:

Details

Status: Finished

Genre: Romance

Houses:

Summary

This poem is part of a novel
Share :
Twitter

Summary

This poem is part of a novel

Content

Submitted: May 11, 2017

A A A | A A A

Content

Submitted: May 11, 2017

A A A

A A A


Chozi Langu

(In Letters to Tamara)

 

Wanipapasa machoni, ewe chozi langi

Menifanya simuoni, alo azizi wangu

Wanichoma.

 

Mbona wanitoka, mpenzi chozi?

Moyo mepasuka, sinalo pozi

Naugua.

 

Ukimwona yule wangu, umwambie naumia

Kautesa moyo wangu, kwa penzi la kuchumia

Nimechoka.

 

Pole ewe chozi langu, mekuchosha nyingi siku

Mekuwa mhibu kwangu, poa leo sije huku

Naondoka.


© Copyright 2017 bernard ogalo oduor. All rights reserved.

Booksie Spring 2017 Flash Fiction Contest

Booksie Popular Content

Other Content by bernard ogalo oduor

Popular Tags